Posts

Showing posts from 2018

NAMNA BORA YA UTUNZAJI WA KUCHA

Image
CHAKULA KIFAACHO KWA UTUNZAJI WA KUCHA   katika kutunza kucha ziwe nzuri, vyakula ambavyo ni mlo kamili ni muhimu sana, vinginevyo utajikuta ukishauriwa na wataalamu kutumia vitamini mbalimbali kama vile vitamini A, vitamini C, Culcium, Folic Asidi, Protini na Vitamini B12. JINSI YA KUSAFISHA KUCHA. Wekeza vifaa vizuri vya kisasa vya kutunzia kucha. Tumia brush ya kucha kwa kusugua chini ya kucha na kuutoa uchafu na kufikia sehemu ngumu ambapo uchafu unajilundika. Unaweza tumia mswaki ukiwa huna vifaa vya kisasa.                                                                             ...